Audio

Audio: Paul Payne837 Feat. DJ Victor256 – Nakana

Kutoka nchini zambia leo nimekuletea wimbo uitwao Nakana kutoka kwa mwimbaji na rapa wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Paul Payne837 akiwa amemshirikisha DJ Victor256 akitokea nchini Uganda, muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Amazing Beats zilizopo nchini Uganda.

Nakana ni neno la lugha ya Nyanja inayozungumzwa nchini zambia ikiwa na maana ya ”I’ve Refused”(Nimekataa) hii ikiwa ni moja ya wimbo utakaopatikana kwenye EP Mixtape yake ijayo inayobebwa na jina la ”WAR”.

Karibu kusikiliza na kupakua wimbo huu, hakika utaufurahia na kubarikiwa, Ameen.

 

Download Audio

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Nancy njule - Amenitoa Mbali

Next post

Video | Audio: Andrew Robinson - Ni Neema Yako