Video | Audio: Paul Clement - Mwaminifu - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Paul Clement – Mwaminifu

Audio

Video | Audio: Paul Clement – Mwaminifu

Baada ya kufanya vizuri mwezi Juni kupitia video ya wimbo uitwao “Mungu Halisi” ikiwa ni moja kati ya nyimbo zinazoendelea kufanya vizuri katika huduma ya nyimbo za Injili Tanzania, Kwa mara nyingine tena mtumishi wa Mungu Paul Clement ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Mwaminifu.

Video hii imeongozwa na director Joma, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Fishers Records.

“Mungu hawezi kukuacha njiani alianza na wewe atamaliza na wewe. Anaangalia Neno lake ili apate kulitimiza. Yeye ni Mwaminifu wakati wote.” – alisema Paul

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itaweka jambo jipya lenye matumaini ndani yako na kukuinua kila siku, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Paul Clement kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 661 862 au +255 719 367 002
Facebook: Paul Clement
Instagram: @minister_paulclement
YouTube: Paul Clement

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top