Connect with us

Pastor Nsiandumi Ndossi Ameachia Live Version ya Keke

Pastor Nsiandumi Ndossi Ameachia Live Version ya Keke

Muziki

Pastor Nsiandumi Ndossi Ameachia Live Version ya Keke

Kutoka Tanzania, Mwimbaji wa nyimbo za Injili na mchungaji al maarufu Pastor Nsiandumi Ndossi ameachia video ya wimbo “Keke” ikiwa ni Live Version kutoka kwenye Albamu ya Nimenunuliwa, Tayari video hii ipo kwenye channel yake ya YouTube karibu kuitazama na uburudike nayo, Barikiwa.

Connect:
Facebook: Pastor Nsiandumi
Instagram: @pastor_nsiandumi
Twittter: @nsiandumi
Youtube: Nsiandumi Ndossi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top