Connect with us

Audio: Papaa Feat. Kraist Kid, Naomi, Jayson, Memory – Anabadilisha

Papaa Feat. Kraist Kid, Naomi, Jayson, Memory - Anabadilisha

Muziki

Audio: Papaa Feat. Kraist Kid, Naomi, Jayson, Memory – Anabadilisha

Papaa Feat. Kraist Kid, Naomi, Jayson, Memory - Anabadilisha

Kutoka jijini Arusha Tanzania kwa mara ya kwanza tumekusogezea wimbo wa rap uitwao Anabadilisha kutoka kwa Papaa Baraka akiwa amemshirikisha Kraist Kid, Naomi, Jayson Rapper na Memory.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na tunaamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Papaa kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 684 681 594
Facebook: Papaa Baraka
Instagram: @papaa_baraka_official
Youtube: Papaa Baraka Music

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top