Music Video | Audio: Pamsam - Way Maker Cover(English - Swahili) - Gospo Media
Connect with us

Music Video | Audio: Pamsam – Way Maker Cover(English – Swahili)

Video

Music Video | Audio: Pamsam – Way Maker Cover(English – Swahili)

Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu! leo kwa mara nyingine tena muimbaji mwenye sauti ya pekee Pamsam anakukaribisha kutazama na kupakua wimbo wake mzuri uitwao Way Maker hii ikiwa ni marudio(Cover) ya wimbo halisi wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili duniani mwenye asili ya nigeria akifahamiaka kwa jina la Snachi, video hii imeongozwa na director Festus na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Faith Music Lab.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki katika maisha yako leo. Ameen!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Pamsam kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Faith Music Lab
Tovuti: www.faithmusiclab.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Video

To Top