Connect with us

Video: Pamsam – Imela (Thank You)

Muziki

Video: Pamsam – Imela (Thank You)

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia video ya wimbo uitwao Conqueror kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Pamsam ameachia tena video yake mpya ya wimbo uitwao Imela (Thank You) hii ikiwa ni marudio ya wimbo uliowahi kuimbwa na mwimbaji maarufu kutoka nchini Nigeria akifahamika kama Nathaniel Bassey.

“IMELA has been such a song that always reminds me about God and His Mercy towards my life. Please enjoy watching and don’t forget to subscribe to my channel for more english/swahili translated music videos. Singers out there let me know if you will need your song translated into Swahili…” – Pamsam

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Pamsam kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Pamsam

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top