Connect with us

Video: Pamsam – Great I am

Muziki

Video: Pamsam – Great I am

Ikiwa leo ni siku yake ya kumbukumbuku ya kuzaliwa mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye sauti ya pekee akifahamika kama Pamsam ameachia zawadi ya video ya wimbo uitwao Great I am, Huu ukiwa ni moja kati ya wimbo uliowahi kuimbwa na mwimbaji kutoka nchini marekani maarufu kama LaRue Howard.

“As I (PAMSAM) Celebrate my birthday today, am happy to release this Powerful Brand New Song “GREAT I AM” by Pam Sam as my birthday Present to you all so that we all can be blessed and bless the Name of Jesus.
GOD BLESS U ALL. Please do SUBSCRIBE on my YOUTUBE channel PAMSAM and be the 1st to watch my coming Music Videos Projects. Thank u for your support ??.” – Pamsam

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Pamsam kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Pamsam

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top