Audio: P-shantel – Unconditional Love - Gospo Media
Connect with us

Audio: P-shantel – Unconditional Love

Audio

Audio: P-shantel – Unconditional Love

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogezea wimbo mzuri uitwao Unconditional Love kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili chini humo anayefahamika kwa jina la P-shantel, muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Prince Vibes.

Wimbo huu unaelezea upendo wa Mungu usio na mipaka kwa mwanadamu, alimtuma mwanaye wa pekee ambaye aliyaweka maisha yake kwa ajili yetu na huo ni udhihirisho mkubwa wa upendo wake kwetu.

“Yesu alitupenda na kutuonyesha jinsi ya kuwapenda wengine .. Kama tunavyopata na kufurahia upendo  wa Mungu katika maisha yetu, ndivyo tunavyopaswa pia kuchukua nafasi ya kukutana na watu wengine kila siku na kuwaonyesha upendo.” – Alisema P-shantel

Nakukaribisha kwa moyo mkunjufu kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani kuwa utakubariki na kukufanya ufurahie upendo wa Mungu, Barikiwa.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Pshantel
Instagram: @iampshantel
Twittter: @iampshantel

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top