Audio: Ozo Diai – Birthday - Gospo Media
Connect with us

Audio: Ozo Diai – Birthday

Audio

Audio: Ozo Diai – Birthday

Ozo Diai ni mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya nchi ya Nigeria ambaye kwasasa anaishi nchini Marekani na huu ni wimbo wake aliouachia mwaka wa 2018 uitwao Birthday, ukiwa umetayaarishwa na mikono yake mwenyewe kutoka ndani ya studio za Another Music Production na kufanyiwa mixing(mastering) na prodyuza Osh.

“Birthday” ni wimbo unaozungumzia Neema na Upendo wa Mungu unaotolewa kwa wanadamu kila siku kupitia Mwanaye Yesu Kristo na kila siku ya uhai wetu ni zawadi na tunakuwa tunazaliwa upya katika mwili wa kristo. – Alisema Ozo Diai.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Olivia Diai
Instagram: @ozodiai ‏
Twittter: @ozodiai

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top