Connect with us

Video: Osby Berry – Excess Love (Cover)

Osby Berry - Excess Love (Cover)

Muziki

Video: Osby Berry – Excess Love (Cover)

Osby Berry - Excess Love (Cover)

Mwimbaji maarufu nchini Marekani Osby Berry amefanya marudio ya wimbo uitwao Excess Love uliowahi kuimbwa na mwimbaji anayeafanya vizuri nchini Nigeria Mercy Chinwo.

Osby Berry ameimba wimbo huu live katika tukio la ibada maarufu kama The Awakening Live 2019 lililofanyika nchini marekani likiwa limeandaliwa na Victoria Tunde.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Osby Berry
Instagram: @osbyberry
Twitter: @osbyberry

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top