Uncategorized

Onstage:Upendo Nkone alivyoimba kwenye uzinduzi wa album ya Ikupa Mwambenja,Mkapa hall Mbeya

Shalom, leo GospoMedia.Com kupitia Gospo Tv tumekuwekea video ya mwimbaji Upendo Nkone alivyoimba kwenye uzinduzi wa album ya Adonai ya mwimbaji wa nyimbo za injili kutokea mkoa wa Mbeya Ikupa Mwambeja, siku ya Jumapili Novemba 06 katika ukumbi wa Mkapa hall uliopo mkoani Mbeya.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Josiah Justice-Hakuna Kama Wewe

Next post

Onstage:Mwimbaji Moses Simkoko akiimba wimbo wake wa kesho yako,Mkapa hall Mbeya.