Uncategorized

Onstage:Mwimbaji Salome Msungu alivyoimba Live kwenye Huru Festival,RUCU Iringa.

Shalom, leo GospoMedia.Com kupitia Gospo Tv tumekuwekwa video ya mwimbaji Salome Msungu alivyoimba live kwenye tamasha la Huru Festival liliofanyika Novemba 4 katika chuo kikuu cha Ruaha (RUCU) likiwa limeandaliwa na Pure Mission chini ya mtumishi wa Mungu Fred Msungu. Karibu kuitazama video hii na hakika utabarikiwa sana!!

 

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Mwimbaji Silvanus Mumba aitaka Serikali isimamie sheria inayodhibiti wizi wa kazi za waimbaji.

Next post

Onstage:Mwimbaji Lightness Vincent alivyoimba Live kwenye uzinduzi wa album yake ya Sitasumbuka Novemba 13,Miasha ya Ushindi Church.