Uncategorized

Onstage:Mwimbaji Moses Simkoko akiimba wimbo wake wa kesho yako,Mkapa hall Mbeya.

Shalom, leo GospoMedia.Com kupitia Gospo Tv  tumekuwekea video ya mwimbaji wa nyimbo za injli Moses Simkoko alivyoimba kwenye uzinduzi wa album ya mwimbaji mwenzake Ikupa Mwambeja inayoitwa Adonai ,Siku ya jumapili Novemba 06 kwenye ukumbi wa Mkapa hall mkoani Mbeya.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Onstage:Upendo Nkone alivyoimba kwenye uzinduzi wa album ya Ikupa Mwambenja,Mkapa hall Mbeya

Next post

EXCLUSIVE INTERVIEW:Tazama mahojiano ya mwimbaji Eddah Mwampagama,akielezea safari yake ya muziki