Uncategorized

Onstage:Jessica BM alivyoimba live kwenye uzinduzi wa album ya Lightness Vincent,Maisha ya Ushindi Church.

Shalom, leo GospoMedia.Com kupitia Gospo Tv tumekuwekea video ya mwimbaji Jessica BM alivyoimba kwenye uzinduzi wa album ya Sitasumbuka ya Lightness Vincent , Novemba 13 katika kanisa la Maisha ya Ushindi.

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Director Pyuza
Previous post

Video: Director Pyuza akieleza kuhusu kuchaguliwa kwenye Tuzo za Xtreeme na Jinsi ya kumpigia kura

Next post

Shabach Praise Seasson 7 Kufanyika Katika Ukumbi Wa Metropole Tar 27 Arusha