Uncategorized

Onstage: Video ya Bishop Ben alivyoimba wimbo wake wa Usifiwe Bwana katika kanisa la Maisha ya Ushindi.

Shalom,leo kupitia Gospo Tv, tumekuwekea video ya Mwimbaji Bishop Ben alivyoimba wimbo wake wa Usifiwe Bwana katika kanisa la Maisha ya Ushindi kwenye uzinduzi wa Lightness Vicent. Barikiwa!!.

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Bishop Ben kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 675 319 643
Facebook: bishop benonbenjamin
Instagram: @Benbonge
Email: benonbenjamin87@gmail.com⁠⁠⁠⁠

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

 

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: Ikupa Mwambenja-Nitakaa Kwako

Next post

Download Official Music Video+Audio: Pamsam-Kesho Yako