Matukio

Onstage: Silvanus Mumba alivyoimba wimbo wa nitasubiri kwenye uzinduzi wa album ya Sitasumbuka ya Lightness Vincent

Shalom, Leo GospoMedia kupitia Gospo Tv tumekuwekea video ya Mwimbaji Silvanus Mumba akiimba wimbo wake wa Nitasubiri katika tamasha la uzinduzi wa album ya Sitasumbuka ya Lightness Vincent Novemba 12. Barikiwa!!

Kama hujawahi kuitazama video mpya ya Silvanus Mumba “NITASUBIRI” unaweza kuitazama hapa chini.

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Silvanus Mumba kupitia
Simu/WhatsApp: +255 713 073 280
Facebook: Silvanus C. Mumba
Instagram: @silvanusmumba
Twitter: @reverentmumba
Email: chrissgold7@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video ya Amenifanyia Amani ya Paul Clement yachezwa kwenye TV kubwa duniani,Ametumia mbinu gani?Fahamu hapa..

Next post

Habari Picha za Tukio la TeenTalk Ambalo Huandaliwa na Kanisa la Fpct-City Church-Buguruni. Hizi Hapa.