Habari za MuzikiMatukio

Onstage: Rogate Kalengo na Angel Benard Walivyofanya Remix ya Kuna Namna na Salama Jukwaani ,CCC Upanga.

Shalom,Leo kupitia Gospo Tv tumekuwekea video ya Mwimbaji Rogate Kalengo  akiimba live jukwaani wimbo wake wa Kuna Namna huku akimshirikisha na Angel Benard ambapo kwa pamoja waliweza kuchanganya wimbo wa Kuna Namna wa Rogate na Salama wa Angel kana kwamba ni wimbo mmoja. Karibu!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

 

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Joseph Joel - Hata Hilo Litapita

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Elvis Kiwanga - I believe