OnStage: Rogate Kalengo Alivyoimba Live Kwenye Uzinduzi wa Album Yake Mpya Kuna Namna, Uhuru Morovian Church. - Gospo Media
Connect with us

OnStage: Rogate Kalengo Alivyoimba Live Kwenye Uzinduzi wa Album Yake Mpya Kuna Namna, Uhuru Morovian Church.

Uncategorized

OnStage: Rogate Kalengo Alivyoimba Live Kwenye Uzinduzi wa Album Yake Mpya Kuna Namna, Uhuru Morovian Church.

Jumapili ya Jana ,Tarehe 23 Aprili Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Rogate Kalengo alikuwa akizindua Album yake Inayokwenda Kwa Jina la Kuna Namna Katika Kanisa la Uhuru Morovian,Msimbazi Center .

Hapa  tumekuwekea Video ya Mwimbaji Rogate Kalengo Akiwa Anaimba Live Katika Uzinduzi wake huo,unaweza kuangalia na kuwashirikisha wengine na Pia usisahau ku subscribe kwenye Channel ya Youtube ili uwe wa kwanza kupata taarifa za video zote mara tu zitakapokuwa hewani.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

More in Uncategorized

To Top