Uncategorized

Onstage: Rapper Elly Joh Alivyo Perfom Live Kwenye IT’S ON Concert ya Angel Benard,VCCT Mbezi Beach.

Shalom,Leo GospoMedia.Com kupitia Gospo Tv tumekuwekea Video ya rapper Elly Joh Kutoka Borne King aki perform Live kwenye IT’S ON concert ya Angel Benard iliyofanyika miezi michache iliyopita.Barikiwa.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Elly Joh kupitia
Simu/WhatsApp: +255684334036
Facebook: Ellyjohn John Urassa
Instagram: @ellyjoh6

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Onstage: Miriam Lukindo wa Mauki alivyoimba Live Mirado Hall,GSS Final.

Next post

Waimbaji Wa Gospo Mashuhuri kutoka Afrika Kusini Wameshawasiri tayari kwa Tamasha la Sifa za Yeriko,Desemba 9 & 11.Arusha & Dar