Matukio

Onstage: Mwimbaji Joseph Mabula akiimba wimbo wake wa Chuki ya Nini ktk kanisa la ELOI,Kigamboni.

Shalom,leo katika kipengele chako pendwa cha Onstage ambapo tunakuwekea video mbalimbali za waimbaji wakiimba kwenye majukwaa mbalimbali tumekuwekea video ya mwimbaji Joseph Mabula akiimba wimbo wake wa Chuki ya Nini katika kanisa la Eloi Center Kigamboni.Karibu.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video: Kutana Na Odesia Shusho,Mtoto Wa Kwanza Wa Christina Shusho Mwenye Ndoto Kama za Mama Yake.

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Neema Ng'asha - Usilie Tena