Uncategorized

Onstage: Mwimbaji Eunice Mtavangu alivyoimba Live kwenye tamasha la Huru Festival,RUCU Iringa.

Shalom,leo GospoMedia.Com kupitia GospoTv tumekuwekwa video ya mwimbaji Eunice Mtavangu alivyoimba live kwenye tamasha la Huru Festival liliofanyika Novemba 4 katika chuo kikuu cha Ruaha (RUCU) likiwa limeandaliwa na Pure Mission chini ya mtumishi wa Mungu Fred Msungu.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Eunice Mtavangu kupitia
Simu/WhatsApp: +255718985615
Facebook: Eunice Mtavangu
Instagram: @eunicemtavangu

Youtube: eunice mtavangu

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Eve Bahati - Umenifaa

Next post

Download Music Video+Audio: Linnet Nafula Feat ChyChy-Asante Bwana