Connect with us

Onstage: Miriam Lukindo wa Mauki alivyoimba Live Mirado Hall,GSS Final.

Uncategorized

Onstage: Miriam Lukindo wa Mauki alivyoimba Live Mirado Hall,GSS Final.

Shalom, leo kwa upekee kabisa GospoMedia.Com kupitia Gospo Tv tumekuwekea video ya perfomance ya mwimbaji mahiri wa Injili Miriam Lukindo Mauki alivyoimba live kwenye ukumbi wa Mirado katika fainali za mashindano ya Gospel Star Search. Ubarikiwe.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Miriam lukindo Mauki kupitia
Simu/WhatsApp: +255715252523
Facebook: Miriam Lukindo Mauki,
Instagram: miriamlukindowamauki
YouTube: Miriam Lukindo

Email: miriammauki@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >>GOSPOMEDIA.COM instagram>@gospomedia

 

 

More in Uncategorized

To Top