Connect with us

Onstage: Jessica BM alivyoimba Live Jina Yesu kwenye I am Worship Concert, ECG Makongo Juu.

Uncategorized

Onstage: Jessica BM alivyoimba Live Jina Yesu kwenye I am Worship Concert, ECG Makongo Juu.

Jumapili ya Desemba 11, Mwimbaji wa Muziki wa Injili Jessica Honore amefanikiwa kufanya uzinduzi wa album yake mpya inayokwenda kwa jina la Jina Yesu sambamba na tamasha lake aliloliita I am Worship(Mimi ni Ibada). Leo tumekuwekea video ya Jessicah BM akiimba wimbo wake wa Jina Yesu katika tamasha hilo. Barikiwa.

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

 

More in Uncategorized

To Top