Connect with us

Onstage: Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye Tamasha la Machalii wa Yesu Nuru Ya Mtaa

Matukio

Onstage: Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye Tamasha la Machalii wa Yesu Nuru Ya Mtaa

Jumapili ya September 17,2017 katika ukumbi wa Metropole Arusha Kundi la Machalii wa Yesu limeandika historia mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili kwa mtindo wa Hip Hop ndani ya jiji la Arusha na Tanzania nzima baada ya kutambulisha tamasha lao kubwa liitwalo ”Nuru ya Mtaa” likiwa na kusudi la kuwakuomboa watu na kuwaunganisha na Bwana wetu Yesu Kristo.

Hakika lilikuwa ni tamasha kubwa na lenya kubariki mno kwa wakazi wote wa Arusha na mikoa ya jirani ambao wengi waliweza kushuhudia tamasha hilo kwa kiiigilio cha shilingi 3000/- tu na leo kupitia channel yako ya GOSPO TV tumekuwekea video ya tamasha hilo ambalo ni hakika hata wewe litakwenda kukubariki sana. Karibu!!

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko kwa machalii wa Yesu wasiliana na uongozi wao kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 719 915 008
Facebook/Instagram: Machalii wa Yesu

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

More in Matukio

To Top