Connect with us

Onstage: Goodluck Gozbert – Ipo Siku Live Perfomance ndani ya Mirado Hall.

Uncategorized

Onstage: Goodluck Gozbert – Ipo Siku Live Perfomance ndani ya Mirado Hall.

Shalom,karibu kwenye kipengele cha Onstage kupitia Gospo Tv ambapo unapata fursa ya kuwashuhudia waimbaji wa Gospo wakihudumu kwenye madhabau na majukwaa mbalimbali.
Leo katika Onstage tumekuwekea video ya mwimbaji mahiri wa Muziki wa Injili Goodluck Gozbert akiwa anahudumu wimbo wake unaokwenda kwa jina la Ipo Siku katika moja ya matamasha yaliyofanyika katika ukumbi wa Mirado Sinza kwenye fainali za Gospel Star search 2016. Karibu.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Goodluck Gozbert kupitia
WhatsApp: +255654276560 au +255655212720 
Facebook: Goodluck Gozbert
Instagram: @goodluckgozbert 
YouTube: Goodluck Gozbert
Email:goodluckgozbert1991@yahoo.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

More in Uncategorized

To Top