Connect with us

Onstage: Frida Felix – Neno, Live Perfomance ndani ya Eloi Center Kigamboni.

Uncategorized

Onstage: Frida Felix – Neno, Live Perfomance ndani ya Eloi Center Kigamboni.

Shalom, karibu kwenye kipengele cha Onstage kupitia Gospo Tv ambapo unapata fursa ya kuwashuhudia waimbaji wa Gospo wakihudumu kwenye madhabau na majukwaa mbalimbali.
Leo katika Onstage tumekuwekea video ya mwimbaji mahiri wa muziki wa Injili FRIDA FELIX akiwa anahudumu wimbo wake unaokwenda kwa jina la Neno katika moja ya matamasha yaliyofanyika katika kanisa la ELOI CENTRE.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

More in Uncategorized

To Top