Uncategorized

Onstage, Catherine Mkomwa – Ngome Zimeanguka Onstage Perfomance ndani ya kanisa la CAG Ubungo.

Shalom, karibu kwenye kipengele cha Onstage kupitia Gospo Tv ambapo unapata fursa ya kuwashuhudia waimbaji wa Gospo wakihudumu kwenye madhabau na majukwaa mbalimbali.
Leo katika Onstage tumekuwekea video ya mwimbaji mahiri wa Muziki wa Injili Catherine Mkomwa  akiwa anahudumu wimbo wake unaokwenda kwa jina la Ngome zimeanguka katika moja ya matamasha yaliyofanyika katika kanisa la CAG Ubungo.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Official Audio: Elizabeth Ngaiza Feat Christopher Mwahangila-Usikate Tamaa

Next post

Download Official Audio: Lilian Ngowi Feat Silvabel Msuya-Amezaliwa Horini