Connect with us

Onstage: Bomby Johnson – It Shall be Permanent Live Onstage katika kanisa la Maisha ya Ushindi.

Uncategorized

Onstage: Bomby Johnson – It Shall be Permanent Live Onstage katika kanisa la Maisha ya Ushindi.

Shalom,karibu kwenye kipengele cha Onstage kupitia Gospo Tv ambapo unapata fursa ya kuwashuhudia waimbaji wa Gospo wakihudumu kwenye madhabau na majukwaa mbalimbali.
Leo katika Onstage tumekuwekea video ya mwimbaji mahiri wa Muziki wa Injili Bomby Johnson akiwa anahudumu wimbo wake unaokwenda kwa jina la It Shall be Permanent katika moja ya matamasha yaliyofanyika katika kanisa la Maisha ya Ushindi.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na Bomby Johnson wasiliana nae kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 037 180
Facebook: Bomby Johnson
Instagram: @bombyJohnson
Email: bombyjohnson@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

More in Uncategorized

To Top