Habari za MuzikiMatukio

Onstage: Agatha Mhina Alivyoimba Kwenye Uzinduzi wa Album Yake Uweza wa Bwana Februari 26 ndani ya Winners Chapel.

Shalom,Leo kupitia Gospo Tv tumekuwekea video ya mwimbaji wa Injili Agatha Mhina akiimba kwenye uzinduzi wa album yake ya Mkono wa Bwana iliyofanyika jumapili ya Februari 26 katika kanisa la Winners Chapel International kuanzia saa nane mchana na kuendelea.Barikiwa

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Joel Lwaga-Amenifanyia Amani(Music Cover)

Next post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Dona Feat SirMbezi-Uthamani