Audio

Music Audio: Oluwakemi – Living God

Oluwakemi Falola ambaye kwasasa anafahamika zaidi kama Oluwakemi, mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria ameachia wimbo wake mpya uitwao ”Living God” (Mungu aliye hai) ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza anayefahamika kwa jina la Mr.Wols.

Living God, ni wimbo unaoelezea kwa kina uaminifu wa Mungu na tumaini la ahadi za Mungu kwetu kwa siku zijazo. ”Maana, mimi Mwenyezi-Mungu ninajua mambo niliyowapangia. Nimewapangieni mema na si mabaya, ili mpate kuwa na tumaini la baadaye.” – Yeremia 29:11

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu na ni imani yangu kwamba utabarikiwa na kuinuliwa sana. Karibu!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Falola Oluwakemi
Instagram: @oluwakemi_falola

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Music Audio: Jackson Josh - Niongoze Yesu

Next post

Music Video | Audio: Jimmy Gospian Feat. Evelyn - Nasimama