Audio: Olivia - Shut me Out - Gospo Media
Connect with us

Audio: Olivia – Shut me Out

Audio

Audio: Olivia – Shut me Out

Kutoka nchini zambia leo nimekuletea wimbo mzuri uitwao Shut me Out kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili aliyebarikiwa sauti ya pekee anayefahamika kwa jina la Olivia, muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Geo kutoka studio za Native.

Shut me Out ni wimbo unaoelezea haja ya mtu kuwa ndani ya uwepo wa Mungu katika nyakati za upweke unaoweza kutokana na mambo mbalimbali ambayo mtu huyu yamekuwa ni kikwazo kwake.

Nina imani kuwa utabarikiwa utakaposikiliza wimbo huu uliojaa maneno yenye kukujaza neno la Mungu ndani yako, Karibu ubarikiwe!

 

Download Audio

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top