Connect with us

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi April 2017. Hizi Hapa.

Muziki

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Mwezi April 2017. Hizi Hapa.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa nne mwaka 2017, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzisikiliza na kuzipakua baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, pia zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2018.

1.Juliana Mathias-Tangu Nikujue Yesu

DOWNLOAD

2. Godwin Praize – Mate Machozi_Jasho la Damu

 

DOWNLOAD

3. The Doxaz – Ni wewe

DOWNLOAD

4. Stanley Qamara – Kilicho Bora

DOWNLOAD

5. Machalii wa Yesu – Mabokolikolo

DOWNLOAD

6. Baraka Henry-Nitaimba

DOWNLOAD

7. Borne Kingz – Hello

DOWNLOAD

8. David Madaha – Chuki na Fitina

DOWNLOAD

9. Geofrey Kamwela – Nishike Mkono

DOWNLOAD

10. Mtindo Elias-Huyu Yesu

DOWNLOAD

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa nne 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa.!!

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram> @gospomedia.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top