Connect with us

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Novemba 2017

Muziki

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Novemba 2017

Shalom mwana wa Mungu! kwa mara nyingine tena nimekusogezea nyimbo kumi bora zilizofanya vizuri mwezi novemba 2017.

Mwezi wa kumi na moja ulikuwa ni mwezi wa baraka sana tukishuhudia nyimbo mbalimbali za waimbaji wa nyimbo za Injili kupitia tovuti hii ambapo kwa hakika zilibariki na kuponya nafsi za watu wengi na hii imedhihirisha kuwa Neno la Mungu sasa linawafikia wake katika kurudisha na kujenga upya mioyo iliyovunjika na hizi hapa ni orodha ya nyimbo 10 bora za muziki wa Injili zilizofanya vizuri mwezi wa Novemba 2017.

1. Erasto C. Kabalo – I will sing

2. Kachi Grey – I Worship You

3. Haggai Elisha – Nakuhitaji

4. Yz Manamba – Nasubiri

5. Lilian Kimola – Umeinuliwa Juu

6. Jordan Ngassa – Umeinuliwa

7. Bahati Simwiche Feat Beatrice Kitauli – Nyota

8. Emmanuel Singano – Alpha & Omega

9. Vanesa Kasoga – Tangulia

10. Dona JR. Feat John Lihawa, Sunday Mkweli, Gazuko, Bishop Abra, SirMbezi, Miriam Jackson – Sihitaji Refa

Uongozi na timu nzima ya idara ya muziki wa Injili gospomedia inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanyika kuwa baraka kwa watu wote waliopakua na kuzisikiliza na kufanikisha lengo la kulitangaza neno la Mungu kwa watu wake. Barikiwa!

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top