Connect with us

Nyimbo 100 Bora za Injili Zilizopendwa zaidi 2017

Muziki

Nyimbo 100 Bora za Injili Zilizopendwa zaidi 2017

Shalom mwana wa Mungu ! leo kupitia tovuti yako pendwa nimekusogezea nyimbo 100 bora zilizofanya vizuri katika kiwanda cha muziki wa Injili Afrika mashariki kupitia tovuti ya gospomedia.com mwaka 2017.

Mbali na kugusa na kuzibariki nafsi za watu wengi lakini pia nyimbo hizi zimetaayarishwa katika kiwango kizuri cha ubora na ustadi mzuri wa uimbaji katika kutangaza neno la Mungu kwa kiwango, kuziponya na kurudisha nafsi zilizopotea.

Hii ni orodha rasmi ya nyimbo za muziki wa Injili ambazo zimefanya vizuri katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla kupitia tovuti ya gospomedia.com mwaka 2017.

1. Angel Bernad – Siteketei

2. Goodluck Gozbert – Shukurani

3. Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo

4. Christopher Mwahangila – Mungu Hawezi Kukusahau

5. Miriam Lukindo Mauki – Hakuna wa Kubadili

6. Jennifer Mgendi-Nawashukuru Adui

7. Mercy Masika – Shule Yako (Nifunze)

8. Paul Clement – Namba Moja

9. Angel Benard – Jana Leo

10. Jessica Bm Honore – Ni Yesu

11. Neema Mudosa – Hawawezi

12. Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde

13. Rogate Kalengo Feat Evalyne Denis-Ombi Langu

14. Sarah Ndosi Feat Bomby Jonson-Pumzi Yako

15. Rehema Lupilya – Mwema

16. Kelvin Weber – Nitumie

17. Janet Otieno-Bisha

18. Jessica Bm – Furaha Yangu

19. Joel Lwaga – Pendo

20. Judith Mbilinyi – Maisha Yangu

21. The Doxaz – Ni wewe

22. Milca Kakete – Nakung’ang’ania Rmx

23. Nelly Music Feat Dolaa-I ‘am A Christian

24. Annoint Essau Amani-Nitakumbukwa Na Nini?

25. Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-Wajue

26. Simon Damiano-Nafsi Yangu

27. Jackson Josh – Niongoze Yesu

28. Joseph Joel – Hata Hilo Linapita

29. Betty Barongo Feat Walter Chilambo – Nijenge

30. Rehema Lupilya-Ni Wewe

31. Alicia Charles – Mimi ni wako

32. Ritha Komba – Kivulini

33. Wema Bukuku – Nikuabudu

34. Walter Chilambo – Namba Moja

35. Dona Feat SirMbezi – Uthamani

36. Peter Mdoe – Mpaji Mungu

37. EllyJoh Feat Cassian-Upendo

38. Lugano kapologwe – Nikujue

39. Lenjima Feat Stewart – Usinipite

40. James Frank – Tunamtaka Tabitha

41. Neema Faraji-Historia

42. Kim Kasomba-Nimepewa Jina

43. Baraka Jimmie – Jina

44. T-More Feat Sulle & Francis-Uliponitoa

45. Giveness Ngao – Nimeutoa Moyo

46. Mary Mtoi – Ombi Langu

47. Rose Chipe – Hakuna Kama Yesu

48. Frida Felix – Nimemchagua Yesu

49. Nsiandumi Feat Elandre-Mungu Mmoja

50. Juliana Mathias-Tangu Nikujue Yesu

51. Gelax Wakristo – Wasiwasi

52. Iman Victor-Unijaze

53. Aaron K – Umenibeba Yesu

54. Godwin Praize – Mate Machozi_Jasho la Damu

55. Rungu La Yesu – Take Care

56. Jimmy Gospian – Jehova

57. Elandre Feat Nelly Music – Hope Alive

58. Betty J. Feat Tina Marego – Mtakatifu

59. Benny William – Wa Ajabu

60. Pamsam – Asante

61. Williamson Achintole-Liko Tumaini

62. Christina Seme – New Day

63. Novic feat Dolaa – Okoka

64. Josiah Justice – Asingekuja Yesu

65. Benachi – Yesu Wanikamilisha

66. Yonah – Punda

67. Lenjima Feat Ptrix – Impossible

68. Yz Manamba – Wakiuliza

69. Andrew Robinson – Ni Tayari

70. Wagala Shungu – Kabla

71. Edwin Mrope – Unapata

72. Em_RNB – Huruma ya Mungu

73. Enea Mahenge – Sikati Tamaa

74. Ivan Mosha – Siku Hazigandi

75. Bahati Simwiche Feat Beatrice Kitauli

76. Bishop Abrah-Shalom

77. Emmanuel Singano – Alpha & Omega

78. Haggai Elisha – Nakuhitaji

79. Luckson Daniel – Fanya

80. Rhoda Itenya – Funguka

81. Yz Manamba – Nasubiri

82. Dr. Tumaini Msowoya – Furaha

83. Prosper Munuo-Yaweh

84. Lilian Kimola – Umeinuliwa Juu

85. Miriam Jackson Feat Joshua Mlelwa – Nisaidie

86. Erasto C. Kabalo – I will sing

87. Shadrack Robert – Nikuimbie

88. Mc Freddie Feat Mr.Mike-Wakusamehe

89. Vanesa Kasoga – Tangulia

90. Elvis Kiwanga – I Believe

91. Jordan Ngassa – Umeinuliwa

92. Machalii wa Yesu – Mabokolikolo

93. Jesca Gazuko – Bwana Amefanya

94. B Zablon – Vumilia

95. Gladys Kimaro – Baraka za Yesu

96. Eliud Martine Feat Rose Francis – Tulia Kwa Yesu

97. Liza J – Nakupenda Pia

98. Paul Shole – Safari

99. Kelvin Bosco – Thamani Yako

100. John Lihawa Feat Lydia Thom-Kama Joshua

Uongozi na timu nzima ya muziki ya wa Injili ya gospomedia tunasema Asante kwa waimbaji wote walitumia tovuti hii katika kutangaza nyimbo zao ambazo zimetumika kama chombo ambacho kimegusa na kubadilsisha nafsi za watu wengi ambao tunaamini Mungu amekuwa akiwatendea mambo makubwa katika maisha yao kupitia nyimbo hizi ambazo ni hakika ni zenye kubariki na kuinua sana, hii ni kumbukumbu ambayo haitaweza kusahaulika katika mwaka 2017 na tunaamini kuwa waimbaji hawa wataendelea kutumiwa na Mungu katika kutangaza neno lake na jina la Yesu Kristo kwa mataifa yote Ameen!

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Advertisement

TRENDING

Jiunge Nasi

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea updates za kiinjili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 16,082 other subscribers

To Top