Nyimbo 100 Bora za Muziki wa Injili Zilizofanya Vizuri Mwaka 2017
Shalom mwana wa Mungu ! leo kupitia tovuti yako pendwa nimekusogezea nyimbo 100 bora zilizofanya vizuri katika kiwanda cha muziki wa Injili Afrika mashariki kupitia tovuti ya gospomedia.com mwaka 2017.
Mbali na kugusa na kuzibariki nafsi za watu wengi lakini pia nyimbo hizi zimetaayarishwa katika kiwango kizuri cha ubora na ustadi mzuri wa uimbaji katika kutangaza neno la Mungu kwa kiwango, kuziponya na kurudisha nafsi zilizopotea.
Hii ni orodha rasmi ya nyimbo za muziki wa Injili ambazo zimefanya vizuri katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla kupitia tovuti ya gospomedia.com mwaka 2017.
2. Goodluck Gozbert – Shukurani
3. Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo
4. Christopher Mwahangila – Mungu Hawezi Kukusahau
5. Miriam Lukindo Mauki – Hakuna wa Kubadili
6. Jennifer Mgendi-Nawashukuru Adui
7. Mercy Masika – Shule Yako (Nifunze)
10. Jessica Bm Honore – Ni Yesu
12. Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde
13. Rogate Kalengo Feat Evalyne Denis-Ombi Langu
14. Sarah Ndosi Feat Bomby Jonson-Pumzi Yako
20. Judith Mbilinyi – Maisha Yangu
22. Milca Kakete – Nakung’ang’ania Rmx
23. Nelly Music Feat Dolaa-I ‘am A Christian
24. Annoint Essau Amani-Nitakumbukwa Na Nini?
25. Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-Wajue
27. Jackson Josh – Niongoze Yesu
28. Joseph Joel – Hata Hilo Linapita
29. Betty Barongo Feat Walter Chilambo – Nijenge
31. Alicia Charles – Mimi ni wako
34. Walter Chilambo – Namba Moja
35. Dona Feat SirMbezi – Uthamani
37. EllyJoh Feat Cassian-Upendo
38. Lugano kapologwe – Nikujue
39. Lenjima Feat Stewart – Usinipite
40. James Frank – Tunamtaka Tabitha
44. T-More Feat Sulle & Francis-Uliponitoa
45. Giveness Ngao – Nimeutoa Moyo
47. Rose Chipe – Hakuna Kama Yesu
48. Frida Felix – Nimemchagua Yesu
49. Nsiandumi Feat Elandre-Mungu Mmoja
50. Juliana Mathias-Tangu Nikujue Yesu
54. Godwin Praize – Mate Machozi_Jasho la Damu
57. Elandre Feat Nelly Music – Hope Alive
58. Betty J. Feat Tina Marego – Mtakatifu
60. Pamsam – Asante
61. Williamson Achintole-Liko Tumaini
64. Josiah Justice – Asingekuja Yesu
65. Benachi – Yesu Wanikamilisha
66. Yonah – Punda
67. Lenjima Feat Ptrix – Impossible
69. Andrew Robinson – Ni Tayari
73. Enea Mahenge – Sikati Tamaa
74. Ivan Mosha – Siku Hazigandi
75. Bahati Simwiche Feat Beatrice Kitauli
77. Emmanuel Singano – Alpha & Omega
78. Haggai Elisha – Nakuhitaji
82. Dr. Tumaini Msowoya – Furaha
84. Lilian Kimola – Umeinuliwa Juu
85. Miriam Jackson Feat Joshua Mlelwa – Nisaidie
86. Erasto C. Kabalo – I will sing
87. Shadrack Robert – Nikuimbie
88. Mc Freddie Feat Mr.Mike-Wakusamehe
91. Jordan Ngassa – Umeinuliwa
92. Machalii wa Yesu – Mabokolikolo
93. Jesca Gazuko – Bwana Amefanya
95. Gladys Kimaro – Baraka za Yesu
96. Eliud Martine Feat Rose Francis – Tulia Kwa Yesu
99. Kelvin Bosco – Thamani Yako
100. John Lihawa Feat Lydia Thom-Kama Joshua
Uongozi na timu nzima ya muziki ya wa Injili ya gospomedia tunasema Asante kwa waimbaji wote walitumia tovuti hii katika kutangaza nyimbo zao ambazo zimetumika kama chombo ambacho kimegusa na kubadilsisha nafsi za watu wengi ambao tunaamini Mungu amekuwa akiwatendea mambo makubwa katika maisha yao kupitia nyimbo hizi ambazo ni hakika ni zenye kubariki na kuinua sana, hii ni kumbukumbu ambayo haitaweza kusahaulika katika mwaka 2017 na tunaamini kuwa waimbaji hawa wataendelea kutumiwa na Mungu katika kutangaza neno lake na jina la Yesu Kristo kwa mataifa yote Ameen!
Like facebook page >> GOSPOMEDIA Follow instagram page >> @gospomedia