Audio: Novic BCvm, Gelax WaKRiSTo, SirMbezi, Henry Sperts - A Rap - Gospo Media
Connect with us

Audio: Novic BCvm, Gelax WaKRiSTo, SirMbezi, Henry Sperts – A Rap

Audio

Audio: Novic BCvm, Gelax WaKRiSTo, SirMbezi, Henry Sperts – A Rap

Baada ya kitambo kidogo kwa mara ya kwanza kabisa katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo mpya unaokwenda kwa jina la A RAP kutoka kwa moja ya rapa wanaofanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania hapa tunamzungumzia Novic BCvm akishirikiana na rappers wengine kama Gelax WaKRiSTo pamoja na SirMbezi, Huku chorus ikiwa imeimbwa na mwimbaji Henry Sperts.

Kwa moyo mkunjufu tunakukakribisha kusikiliza wimbo huu kwa makini tukiamini kuwa kuna jambo jipya litakwenda kukaa ndani yako kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na mwimbaji Novic BCvm kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 076 016
Facebook: Novic BCvm
Instagram: @novicbcvm
YouTube: Novic BCvm | By Christ Via Me

1 Comment

1 Comment

  1. Novic Daniel

    January 7, 2019 at 8:09 pm

    Asanteni sana #TaaSisi kwa kuwasogezea wapenzi wa muziki wa Injili #ARap iliyo katika mfululizo wa #WaNURUbarz🔥karibuni sana wadau kusikiliza pia usiache subscribe kwenye channel na kuwasha notification more to come

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top