Audio: Nkechi Feat. Ekene John – Munachimso(Never Alone) - Gospo Media
Connect with us

Audio: Nkechi Feat. Ekene John – Munachimso(Never Alone)

Audio

Audio: Nkechi Feat. Ekene John – Munachimso(Never Alone)

Kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Nigeria leo nimekuletea wimbo mzuri uitwao Munachimso(Never Alone) kutoka kwa mwanadada Nkechi akiwa amemshirikisha mwimbaji Ekene John, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Awesome Records.

Munachimso(Never Alone) ni wimbo wa heshima na shukrani kwa Mfalme wa wafalme mwenye upendo usio na masharti wala kikomo, amani na huruma zake ambazo ni mpya kila iitwapo leo.

Nkechi ni moja kati ya waimbaji wanaofanya muziki wa Ibada katika kiwango cha juu sana nchini Nigeria, Ndoto yake ni kuwa na kubaki kuwa baraka kwa watu wa Mungu, kuhubiri Injili kupitia nyimbo na kuleta ufahamu bora wa kuabudu ndani ya mioyo ya watu wote duniani.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa Ibada ambao ni imani yangu kuwa utakubariki  na kukugusa kila utakapkuwa unasikiliza, Bwana Yesu asifiwe!

 

Download Audio

Social Media
Facebook: nkechiofficial
Instagram: @nkechiofficial
Twittter: @nkechiofficial
Youtube: Nkechi

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top