AudioVideo

Video | Audio: Nicebower Daniel – Naongeya Kama Nabii

Kutoka nchini Marekani kwa mara ya kwanza namtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Nicebower Daniel na hii ni video yake ya kwanza aliyoiachia wiki chache zilizopita ikibeba jina la Naongeya Kama Nabii ikiwa imeongozwa na director Chris Mule.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Nicebower Daniel kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (509) 218-4737
Facebook: Nicebower Daniel
Instagram: @nicebowerdaniel
Twitter: @nicebowerdaniel
Youtube: Nicebower Daniel

Advertisements
Previous post

Audio: Baraka Mwampamba - Unadumu Milele

Next post

Audio: Dona JR - Nashusha Nyavu