Audio: Nicebower Daniel - Mwaka huu - Gospo Media
Connect with us

Audio: Nicebower Daniel – Mwaka huu

Audio

Audio: Nicebower Daniel – Mwaka huu

Baada ya mwezi novemba kuachia wimbo uitwao No One Like You mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Marekani Nicebower Daniel kwa mara nyingine tena ameachia wimbo wake mpya uitwao Mwaka huu.

Mwaka huu ni wimbo wa kuwatakia heri ya Krismas na mwaka mpya watu wote duniani lakini pia wimbo huu ni wenye kuwatia moyo watu wote ambao wanapita katika magumu mbalimbali ya kimaisha.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki kwa namna ya kipekee, Ameen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Nicebower Daniel kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (509) 218-4737
Facebook: Nicebower Daniel
Instagram: @nicebowerdaniel
Twitter: @nicebowerdaniel
Youtube: Nicebower Daniel

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top