Mafundisho

NGUVU YA WOKOVU SOMO KUTOKA KWA MWALIMU STELLA J. MHAGAMA. HILI HAPA

Shalom wapendwa, GospoMedia leo inakukaribisha katika somo la NGUVU YA WOKOVU kutoka kwa mwalimu Stella J. Mhagama ambapo amefundisha mambo muhimu katika maisha ya wokovu na vile mtu anavyoweza kuokolewa na kuishi katika wokovu na kuendelea kulitangaza jina la Yesu Kristo  katika maisha yetu ya kilasiku na hakika utajifunza na kufunguliwa upya kiroho kupitia somo hili ambalo linagusa uhalisia wa maisha yetu ya kila siku. kwa swali, maoni na huduma ya kiroho wasiliana na mwalimu Stella J. MhagamakupitiaFacebook: Stella Jonathan Mhagama au kupitia WhatsApp: +12055771477 Barikiwa sana!!

Like Page yetu ya facebook >>>> GOSPOMEDIA

Advertisements
Previous post

WAIMBAJI WENZANGU TUJITAHIDI KUTOA KAZI ZENYE UBORA "DAUDI MPEMBA"

Next post

HABARI PICHA ZA MKESHA WA BOTTLER'S PARTY-MTBC MOSHI. HIZI HAPA.