Habari

NEWZ:”WE ARE ONE AFRICA” MRADI UNAOWAUNGANISHA WASANII WA AFRIKA,SIKILIZA KAZI HIZI KUTOKA KWAO.

Kutokana na mambo mengi yanayotokea Afrika njaa,vita na mengineyo ikiwemo mauaji yaliyotokea South Africa(Xenophobia) yamewafanya wasanii mbalimbali wa Africa kuunganisha sauti zao ili kuikumbusha Afrika vile jinsi inatakiwa kuwa.We are One ni mradi unaojumuisha wasanii 20 kutoka nchi kumi za Afrika ikiwemo Tanzania,Zambia,Malawi,South Afrika,Kenya,Uganda,Zimbambwe,Msumbiji,Botswana na Nigeria huku Tanzania tukiwakilishwa na rapper Elandre,G-Stana na D-Mway.
Kujua zaidi na kusikiliza nyimbo zote za kwenye Mradi huo bonyea link hii http://t.co/wcLBL2oLEK

SirMbezi

SirMbezi

Aloyce Mbezi also known as SirMbezi So Amazing is a Journalist from Tanzania, Co-founder and Executive Director of GOSPOMEDIA, innovative and a thinker in nature determined to shape Tanzania Gospel Music Industry. Welcome to My World where My passion is my Work.
Contact me on : +255 679 433 323 Email: aloycembezi@gmail.com

Previous post

BRAND NEW SONG: FLORA MBASHA - HONGERA HALIMA MDEE

Next post

INTERVIEW:CHRISTINA SHUSHO,UPENDO NKONE NA UPENDO KILAHIRO WAKIONGELEA MWELEKEO WA MUZIKI WA INJILI TZ.