Habari

Newz:Unawajua waimbaji watakaopamba tamasha la pasaka?hawa hapa.

Mpaka sasa waimbaji waliothibitishwa na Kamati ya Maandalizi kushiriki Tamasha la Pasaka 2015, ni Joshua Mlelwa, Christina Shusho, Bonny Mwaitege, John Lisu, Kijitonyama Uinjilisti, Ifeanyi Kelechi (Nigeria), Rebeca Malope (South Africa), F. Munishi (Malebo),- Kenya, Upendo Nkone. Upendo Kilahiro, Jesca Honore (BM), Ephraim Sekeleti (Zambia).
– Kenya bado muimbaji mmoja kutajwa
– South Africa bado Muimbaji mmoja “Nguli’ kutajwa.
by MSama Promotion.

SirMbezi

SirMbezi

Aloyce Mbezi also known as SirMbezi So Amazing is a Journalist from Tanzania, Co-founder and Executive Director of GOSPOMEDIA, innovative and a thinker in nature determined to shape Tanzania Gospel Music Industry. Welcome to My World where My passion is my Work.
Contact me on : +255 679 433 323 Email: aloycembezi@gmail.com

Previous post

Breaking News:Muimbaji wa Gospo,Angel Bernad Avishwa pete ya Uchumba.

Next post

NEWZ: Yesu Okoa Mitaa inakuletea PASAKA Concert ndani ya Bagamoyo.Tar 6/4/15.