Habari

NEWZ:RUNGU LA YESU AWEKA MAMBO HADHARANI,MCHUMBA WAKE HUYU HAPA.

Jumapili ya jana,12/04/015 rapper anayetikisa kwenye ulimwengu wa muziki wa Injili,Rungu la Yesu amemvisha pete ya uchumba mchumba yake anayekwenda kwa jina la Nuru Samsoni.Tukio hilo limefanyika katika kanisa la DCT Tabata.2224AG4
GospoMuziki.Com inakutakia kila la kheri Bw.Rungu la Yesu kwa safari uliyoanza.

Advertisements
Previous post

INSPIRATION: Unahisi hautoshelezi kwa jinsi ulivyo?Fikiri mara mbili.

Next post

Onstage:Rapper Canon akiperfom mara ya kwanza baada ya kupata ajali.