Habari

Newz:Rapper Elandre aachia tracklist ya album yake PROJEKT 3;16

Leo tarehe 3/2/2015,rapper anayetamba TZ,Elandre kwa mara ya kwanza ameweka wazi orodha ya nyimbo zitakozokwepo kwenye album yake anayotarajia kuitoa inayokwenda kwa jina la Projekt 3:16.Kutoka katika album hiyo Elandre ameshaachia hewani ngoma kama Elijah na Bonde,Elandre ameweka wazi orodha hiyo kupitia facebook fanpage yake hyo na kuacha ujumbe unaosomeka “Hi guys, hoping that this is what y’all have been waiting for. I have to say that i am very happy to finally release this track list of the PROJEKT THREE6TEEN. Will soon update y’all on where you can get it. Mkito.com is under consideration for those who wish to support good music. Tanzania aint never heard this before, and my prayer is that she hears and enjoys it to the fullest. So, ears to the ground. God bless y’all”..Let’s Support Elandre.

Advertisements
Previous post

Video:Essau Amani,Mtoto wa Rose Muhando akielezea historia yake ya uimbaji.

Next post

New Audio Song:Yesu Vuruga,Wimbo mpya wa Essau Amani(mtoto wa Rose Muhando)