NEWZ:RAPPER DOUGLAS KYUNGAI KUACHIA TUSEMEZANE FEBRUARY. - Gospo Media
Connect with us

NEWZ:RAPPER DOUGLAS KYUNGAI KUACHIA TUSEMEZANE FEBRUARY.

Habari

NEWZ:RAPPER DOUGLAS KYUNGAI KUACHIA TUSEMEZANE FEBRUARY.

Rapper mahiri katika tasnia ya muziki wa injili kutoka Arusha A.K.A city of Praise Douglas Kyungay ameihabarisha tovuti yetu ya GospoMuziki kuwa yupo njiani kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la TUSEMEZANE aliyoifanya katika studio za Kings Records akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri wa chorus anayejulikana kama Nelly Music.
Douglas hakutoa siku rasmi ya kuachiwa wimbo huo,zaidi ya kusisitiza tu itakuwa mwanzoni mwa mwezi februari. Rapper huyo anayetamba na kibao cha Nishike Mkono alichokitoa mwishoni mwa mwaka 2014 ameowaomba wadau wa mziki wa injili kumsapoti.

Continue Reading
You may also like...
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Habari

To Top