Habari

Newz:Mwimbaji wa Gospo Afariki Dunia.

Mwimbaji wa Gospo kutoka katika kundi la Unity Family, Bi. Magreth Twakyondo (Mainda/Mrs Mkama) amefariki dunia leo saa 12 asubuhi katika hospital ya taifa muhimbili,akielezea kifo cha mwimbaji huyo Bi.Angel Paul ambaye ni mmoja wa wanachama wa kikundi hicho cha muziki wa injili amesema Bi.Mainda alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo ambayo ndio yamepelekea kifo chake.
Kwa sasa msiba upo Mbagala,Dar es salaam nyumbani kwa marehemu huku mipango ya mazishi ikiendelea.
GospoMuziki.com itaendelea kukuhabarisha kwenye kila tukio litakalotokea kuhusu msiba wa ndugu yetu Bi.Mainda.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe.gazz

jozeegazz

Advertisements
Previous post

Newz: Video ya Elandre "EVERYDAY" Kuachiwa Karibuni.

Next post

Newz:Love Songs to Jesus Song,10th May 2015.