Habari

Newz:Kwa mara nyingine EkaInjili Awakimbiza wasanii wa Bongo Fleva kwenye Chart za Mdundo.

Kwa mara nyingine tena baada ya kutoa wimbo wake wa zaidi ya jana Eka injili ameweza kuingia kwenye top 10 za Bongo kwenye mtandao wa mdundo wa nchini kenya baada ya kushika nafasi ya nne nyuma ya wasanii baraka da prince,jux na avril akiwafunika wasanii kama sauti sol,Peter Msechu na Rama dee.
eka aliingia kwa mara ya kwanza kwenye list ya chart za mdundo alipoachia wimbo wake wa usiniache ambao ulifika hadi nafasi ya nane.kwa sasa Eka amepiga hatua mara mbili kwa wimbo wake huu mpya kitu ambacho ni dalili njema kwa mziki wake.
GospoMuziki.com inakutakia kila la kheri Eka katika kuiwakilisha Tanzania.
ek4

Advertisements
Previous post

Brand New Song: SHIKILIA By MC FREDD E

Next post

Brand New video: Bizzle - #Not4Sale