Habari

NEWZ:JE WEWE NI MZALENDO?TUKUTANE TAMASHA LA ALBINISM 31 MAY,VIWANJA VYA MWENGE.

Mwanadada Mary Kuyokwa anayetamba na vibao kama tutamwona Yesu ,praise Africa na vinginevyo vingi anakuletea tamasha la albinism tarehe 31 may 2015 katika viwanja vya Mwenge jijini Dar es salaam.Tamasha hilo ni mahususi kabisa kwa ajili ya kupinga vikali vitendo vya vikatili wanaofanyiwa ndugu zetu wenye Albinism,kuuawa na kukatwa viungo vyao kwa imani potofu ya kupata utajiri na kutetea haki za watoto wa mitaani
Tamasha hilo litasindikizwa na waimbaji kedkeede,wachoraji, ,wasoma mashairi bila kusahau viongozi wa dini na wa kiserikali na hakutakuwa na kiingilio chochote.
Kumbuka ni tarehe 31May 2015 katiak viwanja vya Mwenge.kwa maelezo zaidi piga 0755 412 979
Tazama video kutoka kwa Mary Kuyokwa inayohamsisha kuacha vitendo vya kikatili vya mauaji ya Albino.

Advertisements
SirMbezi

SirMbezi

Aloyce Mbezi also known as SirMbezi So Amazing is a Journalist from Tanzania, Co-founder and Executive Director of GOSPOMEDIA, innovative and a thinker in nature determined to shape Tanzania Gospel Music Industry. Welcome to My World where My passion is my Work.
Contact me on : +255 679 433 323 Email: aloycembezi@gmail.com

Previous post

VIDEO KENYA: SAMAWATI BAND - SIFU BWANA

Next post

MUSIC VIDEO (KENYA): GLORIA MULIRO - FOLLOW YOU