Habari

NEWZ:Cheki picha za Wanajeshi wa Yesu Okoa Mitaa (Eka Injili,Magele na Amani Shabani) Walivyojitosa Kuhubiri Kitaa.

Jana,jumapili ya tarehe 18/01/2014,jeshi la wanaharakati wa Yesu Okoa mitaa wakiwakilishwa na EkaInjili,Magele winner pamoja na Amani Shabani waliungana na kanisa la FPCT Mbezi juu, kamati ya uinjilisti na umisheni kuzunguka mitaa ya Tangi bovu na shoko kuhubiri injili mtaa kwa mtaa kama ilivyo slogan ya Yesu Okoa Mitaa,Kila kona ya mtaa.
Haya ni baadhi ya matukio katika picha,tazama hapo
03

04

06

008

010

011

012

013

017

018

019

24

070

Advertisements
Previous post

NEWZ:Tazama Video Mpya ya Ambwene Mwasongwe "Mzee wa Siku"

Next post

MWIMBAJI WA INJILI FAUSTIN JOHN AINGIZA ALBUM YAKE YA PILI “WINGU LA UTUKUFU” SOKONI..