Newz:2015,Kumbe Yesu okoa mitaa ndio kwanza imeanza. - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Newz:2015,Kumbe Yesu okoa mitaa ndio kwanza imeanza.

Habari

Newz:2015,Kumbe Yesu okoa mitaa ndio kwanza imeanza.

Mwezi wa nane,mwaka 2014 project ya Yesu okoa mitaa iliazimisha mwaka mmoja toka kuzaliwa kwake,lakini kwa taarifa zilizotufikia kutoka kwa muasisi wa project hiyo,rapper Rungu la Yesu amesema licha ya kuwa active kuanzia mwaka 2013,mwezi wa saba,2015 project ya Yesu okoa mitaa (YOM) ndio imeanza kazi rasmi akiamaanisha kuwa na utaratibu maalumu wa kufanya kazi na kuendesha shughuli zake,hii ni pamoja na kuwa na uongozi imara wa kuaminika,rapper huyo hakutaka kufunguka zaidi kuhusiana na mipango mingi waliyonayo ila amehaidi kuwa siku ya ijumaa ya tarehe 6 february 2015 mambo yote yatakuwa wazi,ambapo atatambulisha uongozi na utaratibu wa kufanya kazi na YOM,tukio litakalofanyika kwenye kipindi cha Sifa Moto cha radio praise power ambapo kutaambatana na kuachia rasmi wimbo wa wana Yesu Okoa mitaa,walioufanya kwa pamoja unaokwenda kwa jina la waraka wa kwanza wa YOM kwa watu wote ambapo humo ndani kuna rappers kama SirMbezi,Eka injili,Chief Hope,Magele winner,Amani Shabani,MoreFire pamoja na George Maige.
GospoMuziki.com inawatakia YOM kila la kheri.

Continue Reading
You may also like...
Click to comment

Andika maoni hapa kuhusu hii..!

More in Habari

To Top